Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO 1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa...
3 Reactions
21 Replies
447 Views
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
7 Reactions
76 Replies
423 Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
7 Reactions
271 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka...
20 Reactions
133 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno. Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki...
5 Reactions
16 Replies
258 Views
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
12 Reactions
77 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya...
4 Reactions
87 Replies
1K Views
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa. Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
31 Reactions
96 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,156
Posts
49,850,872
Back
Top Bottom