Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Wakuu Nimeskia sana telesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya yanga na mazembe Means musonda kwenda Congo na baleke aje yanga .. Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana...
1 Reactions
7 Replies
8 Views
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani? Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
0 Reactions
29 Replies
97 Views
Kuna vitu vitatu vikuu ambavyo huumba matokeo ya malipo ya bili yako ya umeme. 1.Muda wa matumizi ya vifaa vyako kwa siku.(Time) 2.Ukubwa wa vifaa vyako kimatumizi( Wattage) 3.Ubovu wa...
1 Reactions
6 Replies
81 Views
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
14 Reactions
98 Replies
4K Views
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda...
50 Reactions
204 Replies
15K Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
7 Reactions
296 Replies
7K Views
My Take Hata Mimi naungana na VP Mpango ,kusema kwamba haoni ni uongo mkubwa na muendelezo wa ubishi,ujuaji na ujeuri wa watu wa Mkoa wa Mbeya. Kiufupi ni utovu wa Nidhamu. Katika kipindi...
3 Reactions
86 Replies
7K Views
Nimekuwa mfuatiliaji mwezi mzima nimeona na mie nijiunge, rasmiii. Naombeni mnikaribisheee jamani.
5 Reactions
22 Replies
66 Views
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
9 Reactions
111 Replies
603 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,164
Posts
49,851,169
Back
Top Bottom