Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.
Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa...
Wakuu nimepata gari aina ya nisan pick up. Nilitakujua changamoto ya gari hizi ni nini na kwahabari ya spea zake zikoje ni gharama sana au ni cheap naomba kwa mwenye uzoefu aniambie
Naomba...
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya...
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
Tunamtakia Kila la heri Rais Samia kwenye ziara hiyo ya mdau Wetu muhimu wa Maendeleo Korea Kusini.
Ikiwezeoana Awapatanishe Kim wa North Korea na South Korea.
Mwanadiplomasia namba 1 na...
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi.
Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
KUWEKEZA KATIKA UVUNAJI WA POLENI ZA NYUKI KWA AJILI YA MATIBABU YA FIGO
Poleni ni seli za uzazi za mimea. Nyuki, wadudu wengine, upepo, na maji hupamba mimea kwa kuhamisha poleni kutoka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.