Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanapofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanapofanya vizuri. Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia...
2 Reactions
10 Replies
261 Views
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff. Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
8 Reactions
19 Replies
378 Views
Ndugu zangu mimi bila kuoa mwanamke bikra naona kabisa nitakua nimejipunja sana, haijalishi atakuja kuchezewa mbeleni ila atleast awe bikra halali mwanzoni mwa ndoa yetu. Sasa ndugu zangu ;-...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Assalam aleikyum guys Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
5 Reactions
25 Replies
498 Views
Bakari Machumu - Mkurugenzi Mtendaji Mwanachi Communication Limited Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi...
4 Reactions
31 Replies
908 Views
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
4 Reactions
86 Replies
1K Views
Kwa ngazi ya Kimataifa, Watanzania wanafahamika kuwa ni wapole, wakarimu, na wengine huwatuhumu kuwa ni waoga, na wavivu waliozubaa! Wakenya wanafahamika kwa ubunifu na kujua kuchangamkia fursa...
3 Reactions
7 Replies
146 Views
Wakala wa Usajili, Udhamini na Ufilisi nchini Rita umebaini ubadhirifu wa tsh billion 1 Msikiti wa Ijumaa Mwanza na hatua za kisheria zimeshaanza kuchukuliwa Hayo yamesemwa na Kabidhi Wasii Mkuu...
2 Reactions
11 Replies
272 Views
A
Anonymous (381e)
Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views

FORUM STATS

Threads
1,861,767
Posts
49,840,850
Back
Top Bottom