Hii sijui ni tetemeko au ni kitu gani, wataalamu tunaomba mfuatilie na mtupatie majibu, Ardhi inapasuka na nyumba zinabomoka, eneo ni Saku Mwisho DSM
---
Taharuki imeibuka kwa wakazi wa Mbagala...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.
Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa...
ni mtumishi mwenye karama ya kipekee sana.
na hata anaowabaini hawakuwajibika vyema kwenye wajibu na majukumu yao mbalimbali ipasavyo, wana kiri kuzembea au kukosea, wanajutia na hawajiskii...
Habari wakuu.. Mimi kijana wa kiume umri early 30's.Naombeni mwenye kazi yeyote halali alieko dodoma mjini anisaidie,
Naweza kufanya kazi zinazohitaji kutumia nguvu au hata inayohitaji elimu ya...
Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
Wakuu habari?
Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
BONG FLAVA YA KUIMBA TOFAUTI NA RAP
20: Ali Kiba - Mwana
19: Diamond - Mbagala
18: Dully Sykes - Dhahabu
17: JI - Kidato Kimoja
16: 2 Berries - Na Wewe Tu
15: Dully Sykes - Dhahabu
14: Z...
Kuna hii tabia ya wajawazito kula udongo na watoto kula mchanga huwa sipendi sana kuona wazazi wanawaachia watoto kula mchanga wengi wetu nadhani hatujui madhara yake.
Kwanza kuna kupata...
Huyu jamaa anatakiwa aombe radhi ili afanikiwe. Kati ya vitu nililaani hatochukua kiatu ni yale maneno aliulizwa eti unaongeleaje kurudi Yanga akasema yeye kurudi Yanga labda Eng. Hersi aondoke...
Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe
Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.