Kijiji cha Namalembo kinapatikana kata ya Msikisi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Shughuli kubwa ya kiuchumi kwenye kijiji cha Namalembo ni Kilimo huku Mahindi na ufuta ikiwa ni mazao yanayolimwa...
Na Dada Fridah Nakazwe
1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia...
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa.
Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
Habari za wakati huu wakuu. Mwezi wa 8 tunategemea kuhamia kwenye makazi mapya maeneo ya Viwege msikitini. Nina wadogozangu wawili ambao mmoja yupo shule ya msingi na mwingine kidato cha tatu...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Anayekuchukia mpe muda, anayejifanya anakupenda mpe muda pia, anayekudharau na kukuona huna maana wala hadhi nae mpe muda
Maana muda ndio msema kweli wa wakati wote.
#nguzabullet %
Once again tunakutana kwenye mchezo bora huu hapa. Tukapate kumsoma secret agent mmoja ambaye alikuwa assigned kuwa mlinzi wa raisi.
Lakini baadae anagundua kwamba mfumo hauko sawa na yeye ndiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.