Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo. Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi...
2 Reactions
14 Replies
185 Views
Habarini jamani..Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo Kwa sasa ni mke wa mtu...
0 Reactions
8 Replies
67 Views
Profesa Juma Athuman Kapuya amejitokeza na kuwakemea wote wanaomchafua kwa kumhusisha na Taaisi ya Athuman Kapuya ambayo ilifungiwa na serikali kwa kuhusika na kashfa ya ushoga. Kapuya amesema...
2 Reactions
11 Replies
251 Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
26 Reactions
93 Replies
3K Views
kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 wanaopata milioni 25...
0 Reactions
5 Replies
132 Views
Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE" Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi...
4 Reactions
7 Replies
256 Views
Habar ya asubuhi JF, Kuna kiumbe kimoja pitapita zangu zangu huku na huku nikatitia kwenye mtandao wa Instagram nikakutana mtu anajiita Nabii KIBOKO YA WACHAWI Ulinzi wake umeniacha kwenye...
3 Reactions
19 Replies
846 Views
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm Huko ni Burkina Faso. Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
28 Reactions
97 Replies
2K Views
Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile...
11 Reactions
62 Replies
2K Views
Wafanyabiashara wa vifaa vya michezo, tunayo furaha kubwa kuwafahamisha kuwa sasa tuna msambazaji (Supplier) wa jezi original zenye ubora wa hali ya juu kutoka timu mbalimbali maarufu za Ulaya na...
0 Reactions
9 Replies
107 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,911
Posts
49,845,325
Back
Top Bottom