Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored.
Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini?
Mimi binafsi...
Kuhusu hii ishu ya uraia pacha.
Pia soma
Tanzania kuanza kutumia Hadhi Maalumu badala ya Uraia Pacha
Serikali yatoa msimamo kuhusu uraia pacha
Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo...
Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Glezabhai naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima...
Habari wanajamvi,
natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno.
Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki...
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema katika miaka 25 ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo (2000-2025) kiwango cha umasikini kimepunguzwa hadi kufikia asilimia 26...
Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu.
Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo ambao wanawasaidia watateule Israel kuwapa taarifa za kijasusi Mossad na Shin Bet Tiss ya Israel.
Kupitia hao waarabu waislam wapalestina wazalendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.