Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hakuna jinsi. Kampuni la Kimarekani Jeep nao wamedandia treni, ingawa kwa kuchelewa kidogo, na kutoa first EV, Jeep Wagoneer S. Hii ni large SUV itakayokua na 600 hp kutoka kwenye electrical...
6 Reactions
12 Replies
182 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Vita VYA magaidi wa Ki-islamu [Hamas] na ISRAEL , Vimewafanya watu WENGI wajue kuwa WATOTO WOTE wa IBRAHIMU ISAKA, ISMAIL NA KETURA na WENGINE ni WAEBRANIA. Imetufanya tutambue ISHMAEL ndio...
4 Reactions
20 Replies
682 Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
19 Reactions
59 Replies
2K Views
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza. Cha kushangaza Tanzania...
9 Reactions
100 Replies
2K Views
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa. Mama is on the move daily. Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro. Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule. Kweli ni...
44 Reactions
189 Replies
10K Views
Kama haujawahi kukutana na matatizo basi unaweza kushangaa hili, watu wanamatatizo ndugu zangu. Nina ndugu yangu ni mtoto mdogo tu kama unavyojua tena maisha ya vijijini mabinti huolewa mapema...
27 Reactions
76 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa Chadema mh Jon Mrema amesema kitendo Cha Wanachama.wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X mh Mrema amesema Sheria...
3 Reactions
45 Replies
454 Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
13 Reactions
204 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,865
Posts
49,843,907
Back
Top Bottom