Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Nashangaa sana na inashangaza sana Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!! Rais Samia kwa jina lake na pesa...
2 Reactions
22 Replies
198 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
SIGIL YA MAMMON; FUNGUA NJIA YA MAFANIKIO NA UTAJIRI KWA KUTUMIA SIGIL YA MARMON. Najua wengi wetu tunapenda Pesa na mafanikio, Tunapenda kumiliki mali (Material gain) basi katika pita pita...
3 Reactions
35 Replies
791 Views
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi. Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu. Noa Argamani, ambaye utekaji...
13 Reactions
299 Replies
7K Views
In most cases, hawa watu huwa wananyege sana. Kwenda gym kwa ajili yakujikinga kupata hiyo kitu ni kama kuongeza petrol kwenye moto. Hii sijui kitaalamu imekaaje....
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Leo napita youtube naona bubu anaimba tena cha kushangaza naona anazidi kutrend https://www.youtube.com/watch?v=ivdazTpwhUo
1 Reactions
4 Replies
24 Views
Habari. Karibuni kwa kujadili hii mada natumaini ninaweza kupata uzoefu(Experience) zaidi kuhusiana masuala ya ndoa na mahusiano. Kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa nyingi kuvunjika,migogoro ya...
3 Reactions
16 Replies
240 Views
Habari wanaforums, naomba kijuzwa Data au Mb zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
6 Reactions
14 Replies
187 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,861,828
Posts
49,842,992
Back
Top Bottom