Tuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B.
Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa...
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Boda...
Wakuu i hope mko poa wote.
Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni...
Video kutoka kwa Mohamed Dewji "MO"
Mwezi uliopita, tulizindua kampeni ya kuongeza ukusanyaji wa chupa za rangi. Tulikusanya tani 21 za chupa nyeusi kwa ajili ya kuchakata!
MeTL ni fahari kuwa...
Linajifanya taifa lenye nguvu kumbe hamna kitu, Miezi 9 ya vita sasa wameshindwa kung'amua mateka wako wapi...Miezi 9 wameokoa mateka wanne kwa maana hyo itawachukua miaka 22 kuwaokoa mateka...
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
Nakumbuka David Kafulila aka Tumbiri aliwahi kuwa Mwenezi wa NCCR mageuzi enzi za akina Mbatia, Felix Mkosamali, Moses Machali na alifanya vizuri
Huyu kijana ingependeza akiwa mwenyekiti wa UVCCM...
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema si haki kumshambulia Zuhura Yunus kwa Sababu ya kubadilishiwa kituo Cha Kazi
Karume amesema Zuhura ni rafiki yake na anakerwa sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.