Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
Jirani yangu alizidisha mpaka akaingia kwenye eneo langu, ni kweli eneo lake ni dogo inaweza kuwa nusu ya eneo langu,
baada ya kuvuka mpaka ikabidi nimfuate kwa nia nzuri tu nikijua labda ni...
Habari,
Kwanza, naipongeza klabu ya Young Africans kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika msimu uliopita kwa kuwa mabingwa wa NBC Premier Legue ,CRDB FEDEREATION CUP na kufika hatua ya robo...
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na...
Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Kauli kwamba "Mungu ni maji" ina maana tofauti kulingana na muktadha na imani ya mtu. Kwa kawaida, hii si kauli ya moja kwa moja kutoka kwa maandiko ya kidini, lakini inaweza kueleweka kwa njia...
HABARI ZENU WAKUU HAPA KATI NA KAKAZI HAPA POSTA NAFANYA
YAAN UNAKUTANA NA KABINTI KAZURI KANAKUSALIMIA SHIKAMOON
WALE WAZEE WANAJIBU SALAMA ZAKWAKO HIVI MMELOGWA
M KIJANA NAITIKIA MARAHABA WE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.