Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile...
Habarini jamani..Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo
Kwa sasa ni mke wa mtu...
kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4
kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3
wanaopata milioni 25...
Habari,
Kwanza, naipongeza klabu ya Young Africans kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika msimu uliopita kwa kuwa mabingwa wa NBC Premier Legue ,CRDB FEDEREATION CUP na kufika hatua ya robo...
Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo.
Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Tukumbuke kuwa ingawa Ulaya na Marekani na Canada pamoja na washirika wao Australia, New Zealand na Japan ni Democracy, bado kumekuwa na vyama vya kisoshalist, liberals na green parties (vyama...
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ni makala yangu ya wazi kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge,Nyota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.