Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
kwa mara nyingine tena Hospitali yetu ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila imefanikiwa kupandikiza uloto kwa wagonjwa mbalimbali walio fikishwa hapo, jambo hilo ni hatua kubwa kwa taaluma ya udaktari...
Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram).
Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha...
Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo kwa kweli. Niko wako Hivyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee ′tapendana kiroho Nakusihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.