Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi. Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio cha togwa! Kiwanda cha...
15 Reactions
70 Replies
1K Views
Wanawake ni viumbe vya hisia. 90% ya matendo yao yanaendeshwa na hisia zao. Ndio maana watachukua hatua kila wakati kabla ya kufikiri na baada ya kusababisha uharibifu mwingi, watakuja kuomba...
14 Reactions
71 Replies
799 Views
Au chadema au lisu wameona watanzania hawana reasoning capacity wakaona waanze kiwadanganga baada ya kuona mama anafanya kazi zinazogusa kila mtu. Ndo mana jpm alitaka kliua mana ni liongo na lijuaji
2 Reactions
42 Replies
119 Views
Kwakweli nimechanganyikiwa, wanajamvini nisaidieni Mimi masikini, nafanya ujenzi lakini nahitaji vitu Bora na vya kipekee lakini uwezo wangu mdogo. Sasa kama ilivyo sisi watanzania na dunia nzima...
0 Reactions
3 Replies
46 Views
Sasa hivi kila taasisi ina madudu ya kutosha juu ya rushwa na ufisadi. Kulingana na ripoti ya CAG, tuliona namna ambavyo taasisi za serikali chini ya viongozi wake wanavyoiba pasipo woga wowote...
0 Reactions
2 Replies
12 Views
Linajifanya taifa lenye nguvu kumbe hamna kitu....Miezi 9 ya vita sasa wameshindwa kung'amua mateka wako wapi Tokea siku zote hizo ni jana wameokoa mateka wanne tu tena kwa msaada wa Delta force...
1 Reactions
1 Replies
9 Views
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi. Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu. Noa Argamani, ambaye utekaji...
12 Reactions
267 Replies
6K Views
"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio...
8 Reactions
61 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii ni makala yangu ya wazi kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge,Nyota...
3 Reactions
45 Replies
320 Views
Habar zenu wanajukwaa, bila poteza muda wacha niende direct kwa mada husika hapo juu. Ni takribani miaka 4+ sasa imefika toka nifanye mapenz na demu wa rafiki yangu wa damu sana yani mpaka sasa ni...
4 Reactions
26 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,586
Posts
49,834,899
Back
Top Bottom