Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio...
Unaweza kuona kama umechanganyikiwa au huna akili lakini ndo hivyo๐คฃ๐ kama Mimi naweza kufunga madirisha na mlango nikakaa ndani kimyaa, Sasa huo sio afya ya akili kweli๐
Sina ata mia mbovu...
Ashakumu sio Matusi lakini Asha wa siku hizi ni mcharuko wa matusi.
Nilidhani imetosha kumbe bado naendeleea kujifunza. Niliwahi kusema; ndani ya Chadema ukiachana na upinzani wetu wa jadi...
Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.