Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono...
Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
Tunayo furaha kuwataarifu kwamba sasa tunasafirisha mizigo kutoka China kuja Tanzania kwa ufanisi mkubwa na kasi ya ajabu. Huduma yetu ya usafirishaji kwa njia ya ndege inahakikisha kwamba mzigo...
Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika...
Huu ujumbe alioandika MO Dewji ukurasani X unawahusu Sana Wanachama wa Chadema na viongozi wao waliong'ang'ania madarakani.
"Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya...
Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote...
Imekuwa ni dhahiri kwamba wanasimba wengi hawana elimu ya hizi bilioni 20 na hivyo wana kila haki ya kuzihoji zilipo sababu hawana elimu, Mjinga ni mtu anaebisha sababu hajui hivyo inahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.