Jana nimeduwazwa sana baada ya mke wa rafiki yangu kunitamkia wazi kuwa ananipenda na anataka kutoka na mimi.
Tangu nifahamiane naye miaka takribani mitano sasa tumekuwa tukiheshimiana naye sana...
Wanakumbi
🚨🇮🇱GANTZ TO ANNOUNCE PARTY'S EXIT FROM ISRAELI GOVT
National Unity chairman Benny Gantz will hold a press conference today at 1:30 p.m. ET, after canceling a Saturday announcement of...
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake...
Kwa masikitiko makubwa naomba kuwaaga rasmi.
Naondoka hapa kwetu Njinjo kesho naelekea wilaya ya Liwale ambapo nimepata kibarua kwa mzee mmoja. Nijuavyo huko Mpigamiti hakuna Internet, hivyo...
Najionea huruma sana nikifikiria kuwa miaka mitano ijayo nitakuwa na mvi na makunyanzi.
Ngozi yangu haitakuwa kama leo, ntakuwa na miaka 35.
Miaka 35 inabakiza miaka 15 tu niwe na miaka 50...
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff.
Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
Hi, I have been in a relationship with a girl and we have got sex 3 times, though I did not enjoy as she do complain of feeling pain due to my 7inch shaft. Last night she proposed to invite her...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.