Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama.
Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema...
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa...
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa...
Kuna jambo nimelifanya leo... [emoji3]
Leo nilikua naelekea hospitali na mgonjwa wangu... Sasa kufika maeneo flani nikasimamishwa Traffic, basi kwa kutii sheria nkasimama kwa mbele. Alikuja...
Ndugu wanajukwaa, kwanza pongezi juu yenu wote kwa kukaribia kuuaga mwaka 2014.
Ndugu zangu nchi hii toka miaka ya 2000+ imepita katika kizazi cha Ulafi kisicho na huruma hata kidogo...
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao.
Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
Wakuu Heshima mbele.
Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa Uganda, akiwemo Spika wa Bunge la nchi hiyo, Anita Among, mumewe na Naibu Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi kutoingia nchini...
Kutoka Dodoma Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amezindua matumizi rasmi ya magari ya umeme Kwa Wananchi wanapotaka kuyatumia.
https://www.instagram.com/p/C7nwUkRtb0m/?igsh=MTltOXdyenk3cjZieA==...
Ifike muda haya mambo yazungumzwe tena. Hivi hawa wazungu wakijua kuwa beberu ni mbuzi dume, tena lile dume haswa wanatuelewa vipi?
Pata picha beberu anapoomba mechi. Kwa lugha nyingine sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.