Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
Raisi Xi wa China alitoa vitisho kuhusiana na ziara ya bi Perosi nchini Taiwan. Wote tulisikia. Pamoja na vitisho vyote, Marekani wakapuuza, bi mkubwa akaingia Taiwan. Wote tuliona, mchana kweupe...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
History sijui nielezeje,
Nilitengana na baby mama wangu, kwa muda mrefu, nakuja kumtafuta tena mshenzi yule nakuta kashaolewa na anakachanga. Hapo ndipo nikaona option nikumchukua best friend...
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.