Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika...
0 Reactions
3 Replies
13 Views
History sijui nielezeje Nilitengna na baby mama wangu, kwa muda mrefu, nakuja kumtafuta Tena mshenzi yule nakuta kashaolewa na anakachanga. Hapo ndipo nikaona option nikumchukua best friend wangu...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa. Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
8 Reactions
24 Replies
292 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Unaweza kuona kama umechanganyikiwa au huna akili lakini ndo hivyo🤣😂 kama Mimi naweza kufunga madirisha na mlango nikakaa ndani kimyaa, Sasa huo sio afya ya akili kweli😆 Sina ata mia mbovu...
9 Reactions
18 Replies
117 Views
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani...
61 Reactions
5K Replies
348K Views
Wadau JF, Nataka leo tuambizane ukweli kwanini sisi wanaume warefu dark tunawapagawisha sana watoto wa kike. Kwa mfano mimi wanawake walikuwa wanapigana kwa ajili yangu toka O level, A level...
3 Reactions
16 Replies
224 Views
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
12 Reactions
89 Replies
1K Views
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku. Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali. Mimi...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
JE, NDEGE INARUDI NYUMA? Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking). Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
38 Reactions
408 Replies
17K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,547
Posts
49,833,685
Back
Top Bottom