Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika. Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
3 Reactions
51 Replies
573 Views
Habari wapendwa, imekuwa ni kawaida na ndio naona ni kama style ya sasa kina dada kutongoza wanaume najiuliza hivi ni wadada wangapi waliotongoza wanaume na wakafanikiwa kimapenzi. Na wakaolewa...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari za holday wanaJF! Hope mnaendelea vizuri na kazi zenu... naombeni ushauri wenu........ Jamani mimi nina rafiki yangu kipenzi ambaye ananiwazisha sana kwa hali aliyo nayo maana...
5 Reactions
203 Replies
15K Views
Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Unajifahamu kabisa umri umeshaenda hata ukikojoa mkojo hautoboi mchanga halafu unaenda kudate kibinti kibichii, wewe umeshazoea haya mambo hakuna jipya, lakini chenyewe bado kina munkari kina...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Anachokifanya mchina sasa, USA amekifanya miaka 50 iliyopita. Juzi wanashangilia chombo Chao kutua kwenye ardhi ya mwezi, USA alishafanya hayo miaka ya 60s. Mwakani au 2026 anataka kupeleka...
0 Reactions
11 Replies
227 Views
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana! Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata...
13 Reactions
320 Replies
28K Views
Hi jf! Mm hua nafatilia sana comments za humu jf, kuna watu (great thinkers) wanapost vitu vyenye mashiko na vya kuelemisha na kukosoa mtu mmoja mmoja or society at large, eg. Kuna post nmeona...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa. Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
61 Reactions
159 Replies
6K Views
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake...
1 Reactions
188 Replies
11K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,763
Posts
49,840,662
Back
Top Bottom