Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
6 Reactions
77 Replies
228 Views
Habari za mchana wanajf, Katika pitapita yangu asubuhi nikiwa nafanya mazoezi, nimegundua watu wengine wenye vyoo vya nje, huingia na chupa kubwa za maji tupu, ndio mdogo, mabeseni nk ili usiku...
3 Reactions
15 Replies
320 Views
Eti wakuu? Majibu yawe mafupimafupi
1 Reactions
4 Replies
6 Views
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali. Wenye sura personal...
5 Reactions
61 Replies
581 Views
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje...
2 Reactions
31 Replies
313 Views
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika uoande wa Mama na kilicho bakia ni kipenga kipulizwe tu. Kwa vyanzo vya uhakika nilivyo navyo ni kwamba Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi...
4 Reactions
10 Replies
53 Views
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
12 Reactions
25 Replies
871 Views
Hili naliandika kwa uchungu mno kwakuwa waathirika ni wengi na hata pengine baadhi ya wana JF ni wahanga. Maisha yanatufunza mengi yanatuonyesha mengi na yanatufunulia mengi Kuna familia...
366 Reactions
1K Replies
188K Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
4 Reactions
60 Replies
333 Views
Sababu kubwa ya mahusiano mengi kutokufika mbali watu Wana force kubadilishana tabia kwa haraka Jambo kubwa na la muhimu watu wanalopaswa walitambue . Katika mahusiano unakutana na mtu ukubwani...
1 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,719
Posts
49,839,038
Back
Top Bottom