Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Eti maridhiano. Acheni utapeli. Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa...
0 Reactions
4 Replies
107 Views
Barua ya Wazi Kwa Vijana Wote WANAOJITAFUTA 🫡 Mitaa inasema: 👇 Ni Rahisi kwa Mtoto Kilaza Aliyezaliwa kwenye Familia ya Kitajiri Kutusua Kuliko Mtoto Smart Aliyezaliwa kwenye Familia Duni. 98%...
0 Reactions
5 Replies
78 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
19 Reactions
243 Replies
7K Views
Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile...
17 Reactions
135 Replies
2K Views
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume, Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
13 Reactions
76 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume. Naishi dar. Umri ;32 Rangi :Black. Dini yangu -muslim Natafuta mpenzi awe na sifa hizi Awe anaishi dar. Asiwe serious sana (Awe charming) Umri 20-35. Dini yoyote sibagui...
1 Reactions
36 Replies
320 Views
Nimeona sehemu kuwa utofauti wa mazingira ya kijijini unaweza kumuongezea mwajiriwa kigezo cha kuongezwa fedha ya mshahara.naomba kuthibitisha kutoka kwenu.
0 Reactions
5 Replies
15 Views
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi...
13 Reactions
95 Replies
2K Views
-Kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika, Ni timu moja tu (Pyramids) ndio ipo Shirikisho (CAFCC) huku Petro Atletico de Luanda wakiwa hawashiriki michuano ya CAF baada ya kutolewa hatua ya makundi...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa...
33 Reactions
2K Replies
201K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,091
Posts
49,738,003
Back
Top Bottom