Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Samahani, mimi leo nimeamka nikapigiwa simu na mdogo angu akanambia kuwa mama yetu aliota usiku wa kuamkia leo kuhusu mimi, kuwa nilikuwa niko porini, alafu watu wananisemesha ila mimi siwasikii...
0 Reactions
3 Replies
42 Views
Eti wakuu? Majibu yawe mafupimafupi
1 Reactions
6 Replies
40 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali. Wenye sura personal...
5 Reactions
66 Replies
663 Views
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
7 Reactions
91 Replies
366 Views
Wanakumbi 🚨🇮🇱GANTZ TO ANNOUNCE PARTY'S EXIT FROM ISRAELI GOVT National Unity chairman Benny Gantz will hold a press conference today at 1:30 p.m. ET, after canceling a Saturday announcement of...
1 Reactions
11 Replies
132 Views
Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
4 Reactions
83 Replies
1K Views
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana. Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
11 Reactions
63 Replies
2K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
4 Reactions
67 Replies
418 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,719
Posts
49,839,038
Back
Top Bottom