Wakuu habari za mchana.
Naomba kufahamu iwapo naweza kuongeza ukubwa wa kiwanja changu ambacho nimeongeza kwa kufanya land reclamation na kubadili hati kuwa na ukubwa zaidi. Naomba kushauri wakuu
Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia...
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe.
Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki.
Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam
NB
Nje...
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
...tunaendelea
Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa...
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala
“Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!”
“Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.