Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono...
WAUNGWANA.
Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
Kuna mambo Yako wazi kabisa na hauwezi kumlaumu Rais yoyote wa JMT kwa sababu Katiba imetoa Mwanya
Rais wa JMT ni sawa kabisa na Mfalme ndio sababu first Born wa Rais wa awamu fulani humu...
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu.
Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini...
Ebana wanajamvi inakuwaje
Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
Habari wana jF poleni na majukumu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi nakulala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.