Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Eti wakuu? Majibu yawe mafupimafupi
1 Reactions
14 Replies
142 Views
Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanapofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanapofanya vizuri. Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia...
1 Reactions
5 Replies
93 Views
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali. Wenye sura personal...
6 Reactions
69 Replies
762 Views
Nimepita kwenye majukwaa mbalimbali, nimekutana na comment mbalimbali za watu wakitukanana matusi makubwa makubwa kisa tu wametofautiana/ kupishana kauli kidogo tu, imenichekesha nakunifanya nalia...
111 Reactions
364 Replies
13K Views
Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata...
67 Reactions
189 Replies
16K Views
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana...
22 Reactions
69 Replies
2K Views
Unaanzaje kwa mfano? Kuna kijana wa Chuo anagegeda "mtawa" na hili nimejihakikishia mwenyewe, sasa najiuliza vijana hamuogopi? Hamuoni kama mnawapa dhambi? Ni kweli masister wa sasahivi ni...
13 Reactions
187 Replies
39K Views
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
13 Reactions
26 Replies
991 Views
Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu. Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
25 Reactions
208 Replies
4K Views
Waziri wa Ardhi Jerry Silaa amewapiga marufuku wenyeviti wa mitaa na Vijiji kuuza Ardhi na kwamba kuanzia Sasa kazi hiyo itafanywa na Afisa Ardhi na Kampuni za Upimaji tuu. Aidha bwana Silaa...
23 Reactions
105 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,761
Posts
49,840,518
Back
Top Bottom