Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huu ujumbe alioandika MO Dewji ukurasani X unawahusu Sana Wanachama wa Chadema na viongozi wao waliong'ang'ania madarakani. "Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya...
6 Reactions
17 Replies
197 Views
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
1 Reactions
11 Replies
91 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana! Pamoja na kushambuliwa...
4 Reactions
34 Replies
195 Views
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali. Wenye sura personal...
3 Reactions
33 Replies
306 Views
Inakuaje Jf; Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana. Baada ya kutukana...
1 Reactions
9 Replies
122 Views
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana. Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
Serikali imeanza Uchunguzi Maalumu wa kubaini mapungufu mbalimbali katika Viwanja vyote vya Ndege nchini ili kubaini changamoto hizo na kuweza kuzifanyia kazi ikiwemo Mapungufu ya Kimfumo...
1 Reactions
3 Replies
15 Views
Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi. 1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga...
7 Reactions
37 Replies
273 Views
I know that most Tanzanians are illiterates and therefore they normally become happy for while especially when there is a person who makes them happy temporarily even even for trivial issues like...
1 Reactions
1 Replies
15 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,661
Posts
49,837,019
Back
Top Bottom