Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this. Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM. Malumbano yao hayana "UPENDO" ila...
2 Reactions
23 Replies
183 Views
Huu ni udhalilishaji, na wakili wa TLS ameshirikiana na Makonda kudhalilisha huyu mama. Wanasheria wa Halmashauri hawaendi Mahakamani, kwa mujibu wake, kwa sasa Ofisi ya wakili mkuu iliyopo DSM...
2 Reactions
42 Replies
1K Views
Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA. Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii...
1 Reactions
7 Replies
163 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda. Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini. Ujumbe wake huu hapa ---...
15 Reactions
71 Replies
2K Views
Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara. 1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Salaam,Shalom. Wakati Dunia na mifumo yake ikijitengeneza kuhakikisha Dunia nzima unaungana kupata sarafu Moja, utawala mmoja na siku moja ya Ibada Dunia nzima ( JUMAPILI). Nyikani, Taifa la...
2 Reactions
2 Replies
175 Views
Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji. Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za...
8 Reactions
51 Replies
1K Views
Wakuu hivi ni mimi sina taarifa au vipi? Mbona kila sehemu ukienda watu wanadai rushwa bila kificho? Immigration, TANESCO hata TRA. Nini kimetokea ghafla? 1. Immigration - ili upate passport...
14 Reactions
69 Replies
2K Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
12 Reactions
108 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,075
Posts
49,737,539
Back
Top Bottom