Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ifike muda haya mambo yazungumzwe tena. Hivi hawa wazungu wakijua kuwa beberu ni mbuzi dume, tena lile dume haswa wanatuelewa vipi? Pata picha beberu anapoomba mechi. Kwa lugha nyingine sisi...
3 Reactions
9 Replies
171 Views
Kuna jambo nimelifanya leo... [emoji3] Leo nilikua naelekea hospitali na mgonjwa wangu... Sasa kufika maeneo flani nikasimamishwa Traffic, basi kwa kutii sheria nkasimama kwa mbele. Alikuja...
6 Reactions
14 Replies
298 Views
๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri...
58 Reactions
171 Replies
6K Views
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hello ๐Ÿ‘‹ Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
14 Reactions
142 Replies
5K Views
Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama. Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema...
3 Reactions
3 Replies
112 Views
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia. Mwalimu mwingine wa...
0 Reactions
13 Replies
155 Views
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa...
5 Reactions
41 Replies
751 Views
Kuna feelings flani hivi ameiziiing Eti wakuu?
2 Reactions
19 Replies
216 Views
Ndugu wanajukwaa, kwanza pongezi juu yenu wote kwa kukaribia kuuaga mwaka 2014. Ndugu zangu nchi hii toka miaka ya 2000+ imepita katika kizazi cha Ulafi kisicho na huruma hata kidogo...
1 Reactions
32 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,908
Posts
49,759,418
Back
Top Bottom