https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
Habari Wakuu,
Kumekuwa na taratibu ya mitaa mbalimbali hasa uswahilini viongozi wanaweka utaratibu wa kuweka Sungusungu kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwa utaratibu wa kila nyumba kuchagia...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
Jina lake ni Josephine Myrtle Corbin. Alizaliwa Marekani 12/05/1868.
Maumbile yake hayakuwa ya kawaida. Alizaliwa akiwa na miguu minne, na pea ya uke na tumbo la uzazi. Madaktari mbalimbali...
WAIRAQ au Wairaki ni kabila kubwa linalozungumza lugha jamii ya Wakushi na linalopatikana Mkoa wa Manyara wilaya za Mbulu, Babati, Hanang na Mkoa wa Arusha katika wilaya ya Karatu.
Watu wa kabila...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe Nyalandu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.