Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimesikitishwa sana baada ya site zote za pornography kufunguliwa kipindi hiki watoto wako likizo. Nimuda mwafaka waziri anaehusika atoke hadharani aseme sababu au ablock site zote za x videos...
1 Reactions
16 Replies
106 Views
Mateka 4 waliotekwa na Hamas mwaka jana wameokolewa Leo na Jeshi la Israel Source BBC
5 Reactions
38 Replies
752 Views
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo...
3 Reactions
11 Replies
612 Views
A
Anonymous
Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hivi ndugu zangu naomba niulize ni kwa nini miradi mingi ya serikali huwa inachelewa au kufa kabisa na huku tukishuhudia miradi binafsi ikikamilika kwa muda na viwango vizuri. Shida ni nini? 1...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
#Taarifa kutoka katika vyanzo mbali mbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
2 Reactions
7 Replies
122 Views
Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant. Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?
22 Reactions
322 Replies
52K Views
Habari za jioni. Ndugu zangu kila siku nawaza mambo mengi ambayo tukitafuta ufumbuzi nahisi yatapunguza matatizo na changamoto zinazosumbua jamii zetu. Napendekeza nchi yetu kupitia bunge...
2 Reactions
8 Replies
130 Views
Mheshimiwa Dr Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
2 Reactions
22 Replies
389 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,384
Posts
49,828,334
Back
Top Bottom