Kanali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Ameen Kashimir, ameilalamikia serikali kwa kutotambua mchango wake licha ya kuinusuru serikali wakati wa maasi ya jeshi hilo ya mwaka 1964...
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja...
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
Salaam shalom!!
Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si...
Nimesikitishwa sana baada ya site zote za pornography kufunguliwa kipindi hiki watoto wako likizo.
Nimuda mwafaka waziri anaehusika atoke hadharani aseme sababu au ablock site zote za x videos...
Natumaini Mko Salama Wapendwa wa JF,
Huu ni Mtazamo wangu Binafsi Lakini kwa Namna Moja Ni Uhalisia Kwa Baadhi ya watu. Sisemi Kuwa Maisha Yangu Yameharibika Lakini Yamebadilika Mabadiliko...
Kwanza kabla ya kuanza story...nitoe big up kwa IBRAH THE HUSTLER wa ukoo flan Mau Mau. Moja ya mabroo wenye roho nzuri sana..nje ya maisha ya mziki. Nitoe big up pia kwa home boi mwenye roho ya...
Hivi ndugu zangu naomba niulize ni kwa nini miradi mingi ya serikali huwa inachelewa au kufa kabisa na huku tukishuhudia miradi binafsi ikikamilika kwa muda na viwango vizuri. Shida ni nini?
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.