Ukiwa katika mrija awamu hii usipojenga usilaumu mtu. Ni mwendo wa kufyonza kuanzia TRA, SGR, halmashauri pamoja na ripoti za CAG kuwataja wafyonzaji. Mwaka mpya wa Fedha unarudia kufyonza upya...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
Kwa heshma na taadhima napenda kuwajulisha umma wa Watanzania. Kuwa tusiwe na haraka wala hofu 2030 Bumbuli tunakwenda kutoa kiongozi kijana Africa na duniani. Stay tuned!
Wanawake ni viumbe vya hisia. 90% ya matendo yao yanaendeshwa na hisia zao. Ndio maana watachukua hatua kila wakati kabla ya kufikiri na baada ya kusababisha uharibifu mwingi, watakuja kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.