Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine, je ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi
Hi.
Naombeni mnipe mbinu ya haraka na rahisi nitakayoitumia kupunguza marafiki nilio nao.
Nina marafiki wengi "mashosti" karibu kila mtaa wengine ni marafiki tangu shule ya msingi. Kwa sasa...
Hivi kwanini wanawake siku za ibada hasa jumapili, wanaifanya kama ni siku ya fasheni na kujionyesha kwenye kujipamba na mavazi tofauti na makusudi ya imani.
Kuna wanawake bila nguo mpya anaona...
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
Kuna wanaoshinda kutwa nzima na mafundi apo saiti wakifatilia kila kinachoendelea lengo ni kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Mbinu hii inataka uvumilivu mkubwa maana kushinda tu sehem nayo ina...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka , Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
Habari wana jamii forum
Natumai mu wazima
Tafadhali naomba kuuliza mwenye chimbo la mifuko ya 20kg /25kg kama ya azania/azam ambayo inakua rejected lakini mizima ambayo haijatoboka inawezakua...
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.
𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 :
Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.