Hivi ndugu zangu naomba niulize ni kwa nini miradi mingi ya serikali huwa inachelewa au kufa kabisa na huku tukishuhudia miradi binafsi ikikamilika kwa muda na viwango vizuri. Shida ni nini?
1...
Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake.
Kutokana na uelewa, experience na...
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni...
Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa.
Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji...
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
Nimesikitishwa sana baada ya site zote za pornography kufunguliwa kipindi hiki watoto wako likizo.
Nimuda mwafaka waziri anaehusika atoke hadharani aseme sababu au ablock site zote za x videos...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.