Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe. Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu. Niwakumbushe Nyalandu...
2 Reactions
50 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Story hii ya CPA CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
7 Reactions
52 Replies
725 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Biblia inasema muonye mtu muovu, la sivyo damu yake nitaitaka mikononi mwako. Ninyi wahubiri, manabii na mitume wa kisasa mnajua kweli nguvu ya jina la Yesu? Hi li siyo jina la kutamka hovyohovyo...
2 Reactions
7 Replies
140 Views
Ndugu zetu wazenji bhana 😄😄😄 Taarabu mpaka kwenye mpira wa miguu!. Anyway tuzo zinanikumbusha mahafali yangu ya standard seven.Hongereni
6 Reactions
14 Replies
283 Views
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
6 Reactions
66 Replies
729 Views
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa JPM, lakini kwa pamoja tukubali Rais JPM had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tatizo la huu mjadala yeyote anayehoji kuhusu Mambo ya kimkataba anaonekani ni Chura au utopolo na kuzimwa ghafla. Wanasimba tumeamua kutia Pamba masikioni kama tuko kwenye honeymoon tukifurahia...
8 Reactions
74 Replies
5K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views

FORUM STATS

Threads
1,861,501
Posts
49,832,307
Back
Top Bottom