Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
UKARABATI WA MV. MAGOGONI KUKAMILIKA DISEMBA 2024
Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa...
Wiki 2 na siku 5 zilizopita nimetoka kuuza mechi( yani kupiga kavu) na demu ambae tunajuana kwa muda mrefu.. balaa likaja baada ya kupita wiki 1 na siku kazaa nilipata mafua makali lakini yakakata...
Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG.
Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi...
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
Inasemekana:
Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99.
Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote...
1. Marioo
2. Harmonize
3. Jay Melody
4. Mbosso
5. Jux
6. Chino
7. D. Platnumz
8. Zuchu
9. Alikiba
10. Nandy
Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi...
Despite kupewe onyo kali lilitolewa na mahakama ya ICJ siku chache zilizopita, Israel imeendelea kushambulia kambi ya wapalestina Rafah kwa kuilipua na mabomu yenye paundi 2000 zaidi ya mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.