https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Nikiri nimechagua kuibiwa kibwege kabisa.Niliona Mtu mmoja anayetangazwa na KIGOGO2014 huko insta kuwa anauza bando kwa bei nafuu.Nikamfata inbox kuomba kujua zaidi kuhusu hiyo huduma.Akanieleza...
Jina lake ni Josephine Myrtle Corbin. Alizaliwa Marekani 12/05/1868.
Maumbile yake hayakuwa ya kawaida. Alizaliwa akiwa na miguu minne, na pea ya uke na tumbo la uzazi. Madaktari mbalimbali...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizo onesha dhahiri shahiri ametoka kukiwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Hili ni Swali lililotokana na ukweli kwamba huyu mtu ni Smart kuliko hata wale wanaomtesa wanavyomfahamu
Hotuba zake kadhaa alizowahi kuzitoa kabla hajakamatwa na kubambikwa kesi ya Ugaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.