Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.
𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 :
Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema...
Mods wamefuta thread kuhusu Tetesi za kisiwa cha mafia kuuzwa Rudisheni hiyo thread nani kawapigia simu muufute?
Tetesi inabidi itungwe kwa Hoja pamoja na kukanusha katika forum ya "SI KWELI"...
Ukiwa katika mrija awamu hii usipojenga usilaumu mtu. Ni mwendo wa kufyonza kuanzia TRA, SGR, halmashauri pamoja na ripoti za CAG kuwataja wafyonzaji. Mwaka mpya wa Fedha unarudia kufyonza upya...
Kwa heshma na taadhima napenda kuwajulisha umma wa Watanzania. Kuwa tusiwe na haraka wala hofu 2030 Bumbuli tunakwenda kutoa kiongozi kijana Africa na duniani. Stay tuned!
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wanabodi,
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 1yrs sasa na tuna mtoto mmoja.
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake. Ni mwanamke mwenye vission...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.