Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi). Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana...
30 Reactions
202 Replies
9K Views
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja. Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
7 Reactions
90 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
4 Reactions
121 Replies
1K Views
Habali ya jumapili wanabodi Napenda kutoa hii taarifa kuhusu hospital ya private ya CHAULA Iko Songwe Vwawa. Ukimpelekea mgonjwa wanawapa majibu ya uongo Tena magonjwa makubwa ili mtishike haswaa...
3 Reactions
5 Replies
32 Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
15 Reactions
409 Replies
6K Views
HUWEZI LAZIMISHA MWANAMKE AKUHESHIMU, MWANAMKE ANAMHESHIMU MWANAUME ANAYEMPENDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi hudhani kúmpiga Mwanamke ndio humfanya Mwanamke awe mtiifu na...
9 Reactions
47 Replies
405 Views
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni kuwa klabu hiyo imenunuliwa na mwekezaji Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’. Mangungu amesema...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba upande wa Wanachama CPA Issa Masoud amefunguka akidai Mwekezaji wa Simba Mohamed Dewji Mo amegeuza pesa za msaada anazotoa ndio Bilioni 20 anazotakiwa kuweka...
3 Reactions
12 Replies
160 Views
Hivi kwanini wanawake siku za ibada hasa jumapili, wanaifanya kama ni siku ya fasheni na kujionyesha kwenye kujipamba na mavazi tofauti na makusudi ya imani. Kuna wanawake bila nguo mpya anaona...
6 Reactions
15 Replies
96 Views
Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika- Mo - "Time ya Ushindani (FCC) imeshatupa ruhusa, hivyo mchakato wa mabadiliko ya Simba umekamilika, tumepewa vipengele vichache vya kufanyia kazi kama...
16 Reactions
222 Replies
19K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,506
Posts
49,832,407
Back
Top Bottom