Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau hamjamboni nyote? Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika...
5 Reactions
21 Replies
462 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Ndugu zetu wazenji bhana 😄😄😄 Taarabu mpaka kwenye mpira wa miguu!. Anyway tuzo zinanikumbusha mahafali yangu ya standard seven.Hongereni
6 Reactions
10 Replies
177 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
3 Reactions
111 Replies
904 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
13 Reactions
244 Replies
4K Views
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza...
17 Reactions
73 Replies
3K Views
Hope mko fine Nilipokuwa kijana nilitamani sana siku nikioa niwe na familia bomba, iliyotulia na isiyo na bugudha. Nilipooa niliweza ishi maisha ya ndoto zangu takribani miaka miwili. No...
4 Reactions
111 Replies
8K Views
Jina lake ni Josephine Myrtle Corbin. Alizaliwa Marekani 12/05/1868. Maumbile yake hayakuwa ya kawaida. Alizaliwa akiwa na miguu minne, na pea ya uke na tumbo la uzazi. Madaktari mbalimbali...
0 Reactions
5 Replies
161 Views
TOYOTA HARRIER -Anaconda Mwaka 2015 Rangi Black Metallic Engine 1990cc Mileage 97,000km Bei 68m 📌Sunroof 📌Modelista Body Kit ☎+255626682228
2 Reactions
43 Replies
420 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,476
Posts
49,831,380
Back
Top Bottom