Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu.
Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi...
Habari za muda huu,
Nisikuchoshe sana, huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji wote.. michongo hii inapatikana zanzibar (Unguja).
HIRING A RECEPTIONIST AT ZURI ZANZIBAR 🛎️
We are seeking a...
Salaam shalom!!
Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
Wakuu na nyuki wa mama,
Kweli tutaona mengi kabla ya uchaguzi 2025. Mkiwa mnawapa script hawa hata mfanye kuedit basi ili ziendane nao. Wananchi wanaongea unaona kabisa kasukua huyoo anatapika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.