Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Unguja, Zanzibar

Kalaga baho

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
6,176
12,802
Habari za muda huu,

Nisikuchoshe sana, huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji wote.. michongo hii inapatikana zanzibar (Unguja).

HIRING A RECEPTIONIST AT ZURI ZANZIBAR 🛎️
We are seeking a professional and proactive receptionist to join our team at ZURI ZANZIBAR located in Kendwa. The ideal candidate must have excellent communication in English and customer service skills, as well as previous experience in a similar role within five star property.

Responsibilities include greeting guests, answering phone calls, making reservations, and providing information about the resort and local area. If you like talking to guests from all around the world, have a passion for hospitality and enjoy working in a beautiful beachfront setting, we would love to hear from you.

Apply now to be part of our luxury resort team in Zanzibar. Please, send your CV to careers@zurizanzibar.com. Only selected candidates will be contacted. Recommendations are welcome. 🌴
 
#
Jambo
We are looking for the below position
1. Kids club attendant
2. Guest relations
3. Reservation agent
4. Senior Sales and reservation
5. Executive chef ( expat)
6.GM secretary
7. Hostess
8. Revenue Manager
9. Receptionist
10. Fnb Manager
Qualification required
*More than 3 yrs experience in the same field
*Communication skills
*Good English in writing and speaking
** well computer skills
Please share ur CV in our emails
hr@essquehotels.com
ezz hr@essquehotels.com
 
#
Gold Zanzibar Cocoon Collection is looking for the following:
1. Sommelier.
2. Barman.
3. Bar Manager.
  • All must be able to communicate in English language.
  • Must have not less than 3 years of experience in the same roles, especially in the 5* hotels.
Interested candidates should share their CVs with hr@goldzanzibar.com.
The deadline is 01st June 2024.
Ahsante.
 
Hii
 

Attachments

  • IMG-20240519-WA0012.jpg
    IMG-20240519-WA0012.jpg
    75.5 KB · Views: 12
#
Job Vacancies:

Work station: Dar es Salaam

1. Procurement Manager (experience in working with construction company)
2. Resident Architect
3. Construction Manager
4. Electrical Technician
5. Electronics Technician
6. General Manager (experience in working with communication & advertisements company)
7. Intern Architect

Work station: Zanzibar
1. Sales Executive

Work station: Moshi
1. Sales & Marketing Manager (experience in working with hospitality industry)

recruitment@zekgroup.com
 
Graduet wa udsm pale msewe. Tembeleeni ofisi! Usitume hela!

NAFASI YA KAZI FULL TIME

KAZI: Anahitajika kijana wa KIUME kwa ajili ya kudeliver bidhaa kutoka ofisini kwenda kwa mteja. Bidhaa ni vya elimu kama vitabu etc. Nauli anapewa na ofisi.

MSHAHARA: 200,000/=

BONUS: Hutegemeana na ufanyaji kazi wako.

MAJUKUMU:
1. Kuchukua namba ya mteja na kuwasiliana naye ili kumpelekea mzigo.
2. Kutuma mizigo kwenye ofisi za mabasi/boat kama mteja ni nje ya mkoa wa Dar es salaam au Zanzibar.

SIFA YA KAZI
1. Awe tayari kufanya kazi siku 6 za wiki.

2. Awe ana umri kuanzia miaka 18 mpaka 23.

3. Awe na elimu kuanzia certificate na awe anajua kuwasiliana hata kidogo kwa kutumia kingereza.

4. Awe mchangamfu na sharp na haraka kufikisha order kwa wateja.

5. Awe na smartphone ili aweze kutuma risit za mizigo kwa wateja wa mikoani na mawasiliano ya ofisini.

6. Awe anakaa karibu na ofisi, ofisi iko Ubungo Mawasiliano.

Kwa wanaohitaji kuomba wasiliana kupitia WhatsApp pekee 0753819829 kabla ya tarehe 23 May 2024 . Hakikisha uwe na sifa husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom