Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Hello bosses and roses, it has been a while... Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota...
4 Reactions
71 Replies
1K Views
Mwalimu mstaafu Eloise Parker anaishi peke yake huko Massachusetts, lakini ana mpangaji katika boma lake, Adam Clay, anayeishi maisha ya utulivu kama mfugaji nyuki. Siku moja, Eloise anaangukia...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
-Kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika, Ni timu moja tu (Pyramids) ndio ipo Shirikisho (CAFCC) huku Petro Atletico de Luanda wakiwa hawashiriki michuano ya CAF baada ya kutolewa hatua ya makundi...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
17 Reactions
178 Replies
2K Views
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J -...
5 Reactions
43 Replies
479 Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia. Ni...
11 Reactions
141 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwapeni taarifa ya kuwa kuanzia Kesho Katibu Mkuu wa CCM Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi ataanza na kufanya ziara nzito sana katika mikoa mitano ya kanda ya...
1 Reactions
18 Replies
101 Views
Dada zangu please msizae na wanaume ambao hawatawaoa. Biblia haijashawishi wanaume kuoa single mama
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Wakuu habari? Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
3 Reactions
26 Replies
113 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,043
Posts
49,736,569
Back
Top Bottom