Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO...
7 Reactions
37 Replies
326 Views
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja,napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga a...
2 Reactions
16 Replies
17 Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU" Kwa mujibu wa...
5 Reactions
64 Replies
812 Views
=== David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya, Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia...
12 Reactions
87 Replies
669 Views
Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
1 Reactions
1 Replies
15 Views
Kunguru ni ndege mwenye sifa za kipekee sana. Mmoja kati ya ndege anayejulikana sana duniani. Je, unafahamu nini au umewahi kusikia jambo gani kumhusu ndege huyu? Ngoja tumpe maua yake. 1...
5 Reactions
17 Replies
195 Views
Waungwana hamjambo? Nimetoka kazini saivi, mke wangu akaniita jikoni niende kuangalia alichopika. Nikajivuta nikaenda mara nasikia notification ya Whatsapp ndindindiii Kufungua boss katuma...
2 Reactions
9 Replies
10 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
138K Replies
9M Views

FORUM STATS

Threads
1,861,340
Posts
49,826,823
Back
Top Bottom