Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
15 Reactions
46 Replies
2K Views
Ukweli ndioo huo kila siku mtaaan watu wanaongeaa peke yao kama wako na famlia unawaza anaongea na nanii..loh
1 Reactions
6 Replies
186 Views
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana weengi humu...
8 Reactions
70 Replies
653 Views
Habarini Wanajamvi, Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila...
1 Reactions
10 Replies
57 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
9 Reactions
168 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni...
3 Reactions
72 Replies
281 Views
Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale kati ya wababe Simba, Yanga na JKT, hatimaye timu ya Simba wanawake wameibuka mshindi wa kombe hilo la Ligi kuu wanawake baada ya kuifunga Alliance girls ya...
1 Reactions
3 Replies
20 Views
Hellow Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na...
7 Reactions
56 Replies
712 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,861,249
Posts
49,823,987
Back
Top Bottom