Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo...
5 Reactions
26 Replies
676 Views
Wakuu msaada tutani tupeane some tricks. Nawezaje kuishi kama atheist?
1 Reactions
20 Replies
282 Views
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine. 2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
7 Reactions
27 Replies
150 Views
Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani. Ila linapokuja swala...
13 Reactions
66 Replies
909 Views
1. Mboe, 2.
1 Reactions
4 Replies
91 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
10 Reactions
162 Replies
2K Views
Habari wakuu, Tunatafuta watu wa kudesign logo, cover na poster za kuvutia. KAMA UNAWEZA KAZI HII EMBU TUTAFUTE WHATSAPP: 0747744895 KARIBU
1 Reactions
6 Replies
109 Views
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako 1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
48 Reactions
192 Replies
4K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Nina maumivu Sana moyoni juu ya ninayoyaona hapa kimara hebu tazama
4 Reactions
15 Replies
435 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,265
Posts
49,824,537
Back
Top Bottom