Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke...
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala...
Wakuu kwema?
Serikali sasa huku mnapotupeleka kubaya, na ni uonevu wa wazi wazi kabisa. Yaani mtu anapaza sauti walimu wanadai stahiki zao badala mshughulikie malalamiko hayo mnaedna kumkamata...
Bodi ya Chuo Kikuu cha Howard, kihistoria kinachotambuliwa kuwa chuo kikuu cha watu weusi huko Washington DC, imeazimia kumvua Sean "Diddy" Combs shahada yake ya heshima.
Tangazo hilo linakuja...
Salaam, Shalom!!
Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi,
Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa...
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.